Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 17, 2012

SHINDANO LA MISS MOROGORO 2012 LILIVYOFANYIKA MOROGORO HOTELI.



Miss Moro Morogoro 2012 Joyce Baluhi katikati akiwa na washindi wenzake, Salvina Kibona mshindi namba kushoto na Irene Thomas mshindi namba tatu mara baada ya kumalizika kwa shindano la Miss Morogoro lililofanyika katika hoteli ya Morogoro Hoteli mwishoni mwa wiki mkoani hapa.
Miss Moro Morogoro 2012 Joyce Baluhi kushoto akiwa na Miss Morogoro 20111, Asha Salehe kulia mara baada ya kumkabidhi taji hilo.
Mgeni rasmi shindano la Miss Morogoro 2012 ambaye ni Afisa Mwendeshaji wa mfuko wa pensheni kanda ya mashariki na kati (PPF) Astronaut Liganga kulia liyesimama akiwa katika picha ya pamoja na Miss Morogoro 2012, Joyce Baluhi aliyekaa, Mratibu wa shindano hilo Frank Kikambako kushoto aliyesimama na warembo wengine walioingia tano bora mara baada ya kutangazwa matokeo na kuwapata washindi.
Hawa ndiyo warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bara kutoka na kuchujwa kupata mshindi wa kwanza, pili na tatu ambao warembo hao watashiriki shindano la Miss Kanda ya Mashariki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...