Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 12, 2012

MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) KUZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA HOSTELI KWA WANAFUNZI WA WA KIKE WA SHULE ZA SEKONDARI.



 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Habari Elimu na Mawasiliano, Sylvia Lupembe. 
 Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe akifafanua jambo kuhusu uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo na Mkurugenzi wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed.
 
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed akifafanua jambo kuhusu  uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...