Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 19, 2012

Rambo na Van Damme, Jet Li, Dolph Lundgren's, Gunnar Jensen Randy, Arnold Schwarzenegger, Bruce Willis na Chuck ndani ya Expendables 2


Rambo na Van Damme ndani ya Expendables 2




HOLLYWOOD, Marekani

Mashabiki wa filamu za mapigano kwa sasa watakuwa wakijiuliza juu ya nani mkali kati ya mwanamasumbi, Sylvester Stallone 'Rambo' na mpiganaji kareti, Jean-Claude Van Damme.

Jibu la swali hilo litapatikana hivi karibuni, katika filamu mpya ya Rambo ya The Expendables 2, ambayo imejaa mastaa muvi za mapigano wengi wakiwa ni wakongwe.

Katika filamu hiyo ambayo ni mwendelezo wa The Expendables 1, Van Damme anajulikana kama Jean Vilain, ambaye anajaribu kupata tani tano za plutonium na kushikilia dunia kwa fidia.

Baadhi ya wakali watakaopatikana katika filamu hiyo mbali na Rambo na Van Damme ni Jet Li, Dolph Lundgren's, Gunnar Jensen Randy, Arnold Schwarzenegger, Bruce Willis na Chuck

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...