Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 19, 2012

MATUKIO YA SHOO YA LEKADUTIGITE YA ALL STARS MJINI KIGOMA

 

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akizungumza kabla ya kuanza rasmi kwa Shoo kabambe ya All Stars wa Kigoma, iliyokwenda kwa jina la Lekadutigite, iliyofanyika jana mjini Kigoma.
 Sehemu ya mashabiki waliojitokeza wakishangilia Bonge la Shoo lililokuwa likidondoshwa jukwaani.
 Mmoja kati ya wasanii wa All Stars Kigoma, akishambulia jukwaa.
 Makamuzi yakiendelea jukwaani.
 Wengine ilikuwa tabu kuweza kuona mbele ilibidi kutumia teklnolojia kama hii ili kuweza kuwashuhudia All Stars.
Jukwaa lilifurika na kurindima kama hivi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...