Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 16, 2012

SAFARI POOL TAIFA NGAZI YA MIKOA DAR WATINGA ROBO FAINALI


  Mchezaji wa Pool  wa Klabu ya Jambo Lee ya Kinondoni, Judith Machafuko akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
 Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba, Abdalah Ngowi(Kulia) na Haji Hussein wa Mkwajuni wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea katika Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni  Dar es Salaam 
 Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Said Mohamed akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
 Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Shoko ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Modester David akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
 Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Haji Hussein akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam
Wachezaji wa Klabu ya Meeda wakimlalamikia mwamuzi, Leodger Masawe wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...