Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 16, 2012

Uzinduzi Wa Albam Ya Masanja Wafana Iringa

Wasanii Wa bongo movie nao hawakuwa nyuma  kushuhudia  uzinduzi huo

Sehemu ya umati wa watu uliohudhuria uzinduzi huo katika uwanja wa kumbukumbu ya samora mkoani Iringa
Wasanii Wa bongo movie nao hawakuwa nyuma  kushuhudia  uzinduzi huo
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa elimu Mulugo akizindua albam ya Masanja, Hakuna jipya, leo kwenye uwanja wa kumbukumbu ya samora mkoani iringa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...