Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 16, 2012

PENDO ENGLISH MEDIUM SCHOOL MABINGWA WHITEDENT SCHOOL QUIZ


Mkurugenzi Mtendaji wa Chemi Cotex Industries, Lakshmi Narayan Rathi (wa pili kushoto) alipokabidhi zawadi ya kombe kwa wanafunzi wa shule ya Pendo English Medium ya jijini Mwanza, walioibuka mabingwa wa Whitedent School Quiz iliyofikia tamati huko jijini humo jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chemi Cotex Industries, Lakshmi Narayan Rathi (kushoto), akikabidhi zawadi ya vocha yenye thamani ya shilingi milioni 1 ya ununuzi wa vifaa vya shule kwa wanafunzi wa shule ya Pendo English Medium ya jijini Mwanza, walioibuka mabingwa wa Whitedent School Quiz iliyofikia tamati huko jijini humo jana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...