Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajabu Mhamila Super D wa Burudanblog wakiwajibika.
Baadhi ya Wamiliki wa Mitandao mbali mbali nchini wakiwa
kwenye picha ya Pamoja wakati wa Tafrija Fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya simu
za Mkononi Tigo ambapo ilikuwa na lengo la
kufahamiana na kujenga mahusiano, Hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar es salaam usiku huu.
Wakwanza kulia ni Seif Kabelele mmiliki wa Mtandao wa
Kabelele Blog, Miss Popural wa Popuralblog na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa na Michuziblog wakishoo Love.
Kulia ni PR Agencies wa Tigo kutoka Trinity na kushoto ni wadau wa Mitandao(Bloggers) wakipozi kwa picha
Baazi ya ma blogel wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija hiyo leo |
Katikati ni Philemon Solomon mpiga picha wa Fullshangweblog kulia ni Zainul Mzige wa Mo Blog akifurahia katika
tafrija hiyo na mdau wa Radio One.
Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat
Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajabu Mhamila wa
Burudanblog wakiwajibika.
Meneja wa Huduma Za Mitandao kutoka kampuni ya
Tigo akifafanua jambo kwenye Tafrija hiyo ambapo alielezea urahisi wa kupata
vifurushi vya Tigo vya kuweza kuperuzi huduma mbalimbali za kijamii katika
mtandaao
No comments:
Post a Comment