Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 14, 2012

MABONDIA JUMA FUNDI NA BAINA MAZOLA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO



Bondia Baina Mazola kushoto akitunishiana misuri na Juma Fundi wakati wa upimaji wa uzito uliofanyika leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa TPBO utakaofanyika Jumapili Kesho katiku ukumbi wa DDC Kariakoo.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Juma Fundi akipima uzito kwa ajili ya mpambasno wake na Baina Mazola kushoto utakaofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo jumapili ya kesho.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...