Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 6, 2016

SALIM MPONDA AIBUKA BINGWA WA NGUMI ZA WATOTO ILALA


Kocha wa mchezo wa ngumi nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' kushoto akimkabidhi tunzo bondia bingwa wa watoto Salim Mponda baada ya kumtwanga  Hemed Mrema wengine wa pili kushto ni bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kocha  Juma Mwalimu na Dickson  Tembo Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Salim Mponda kushoto akioneshana umwamba wa kuitupiana makonde na Hemed Mrema wakati wapambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa club ya bar ya wazee ilala Dar es salaam Mponda alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
MPONDA NA MREMA WAKISALIMIANA KABLA YA KUMALIZA MPAMBANO WAO


MABONDIA SALIM MPONDA NA HEMED MREMA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI ZAO
HEMED MREMA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUCHUKUA NAFASI A PILI
Mabondia said Ligila na Fadhili Boika wkati wa mpambano wao uliofasnyika katika uwanja wa club ya bar ya wazee ilala bungoni
MABONDIA WA ZANZIBAR

fadhili boika kushoto akioneshana umwamba na said ligila
KIONGOZI WA MCHEZO WA MASUMBWI ZANZIBAR AKIMPATIA ZAADI BONDIA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...