Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 21, 2016

BONDIA VICENT MBILINYI AENDELEA NA MAZOEZI KUPANDA URINGONI JUNE 4 UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upucat'   Mbilinyi ambaye atapanda uringoni katika mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi ambaye atapambana katika mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basket Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basket Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Maokola wakati wa mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya hule ya Uhuru Dar es salaam Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yako yanayoendelea katika shule ya msingu Uhuru Wasichana Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...