Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 22, 2016

IDDI MKWELA NA ISSA NAMPEPECHE WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO OCTOBER 23 CCM MWIJIMA MWANANYAMALA


 

Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' katikati akiwa na mabondia Iddi Mkwela kushoto na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa  raundi kumi utakaofanyika siku ya jumapili ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya Ocober 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Iddi Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya Ocober 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini katikati Rajabu Mhamila 'Super D ' akimtia gumi la kolomelo kocha wa ISSA Nampepeche  Ibrahimu Kamwe wakati wa upimaji uzito baada ya kokosana kauli kila mmoja akidai bondia wake zaidi Super D anamnowa Iddi Mkwela na Kamwe anamfundisha Nampepeche 


Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' katikati akiwa na mabondia Iddi Mkwela kushoto na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa  raundi kumi utakaofanyika siku ya jumapili ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala Picha na SUPER D BOXING NEWS



Bondia Iddi Mkwela akihojiwa na wana habari nyuma ni kocha wake Rajabu Mhamila 'Super D' 
Bondia Mohamed Kisua akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho jumapili

mohamedi kisua
bondia Pius Kazaula akipima uzito
PIus Kazaula
Pius Kazaula
Bondia Iddi Mkwela akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Issa Nampepeche
Bondia Rojas Masamu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Haidal Raju
Rojas Masamu

Tuesday, October 18, 2016

PIUS KAZAULA KUZIPIGA NA IDD PIALALI NOVEMBA 12 TASUBA BAGAMOYO UBINGWA WA AFRIKA


Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Pius Kazaula wa morogoro kushoto na Idd Pialali wa Bagamoyo wakitoleana macho wakati wa kutangaza mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O  Afrika raundi 12  utakaofanyika november 12  katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo Mokoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Pius Kazaula kushoto na Idd Pialali wakiwa katika pozi la kutunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga novemba 12  mpambano wa ubingwa wa U.B.O Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo Mkoa wa Pwani Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika novemba 12 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA ROJAS MASAM
BONDIA EMILIO NORFAT

BONDIA IDD PIALALI

BONDIA PIUS KAZAULA



Bondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Idd Pialali kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Pialali wa Bagamoyo kulia akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Pius Kazaula wa Morogoro kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
MABONDIA PIUS KAZAULA WA MOROGORO KUSHOTO NA IDD PIALALI WA BAGAMOYO WAKIPITIA MIKATABA YAO KABLA YA KUSAINI KUZIPIGA NOVEMBA 12 BAGAMOYO MKOA WA PWANI


Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Pius Kazaula wa Morogori na Idd Pialali wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa kuzipiga Novemba 12  katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA watazipiga kugombania ubigwa wa U.B.O Afrika mpambano wa raundi 12 
akizungumza wakati wa utiaji saini mpambano uho  Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba amesema wameamua kuwawekea ubingwa wa Afrika kwa kuwa mabondia hawo viwango vyao vinafanana kwa kila kitu mana katika boxrec wote wana point 5 pamoja na nyota moja hivyo ni mabondia wa kuwaendeleza kwa sasa kwa kuwa ndio vijana tunao wategemea kwa kipindi hiki

aliongeza kwa kusema mabondia hawo watacheza katika uzito wa paund 147 sawa sawa na kilo glam 66 ubingwa wa U.B.O Afrika ambapo Super visor wa mpambano uho atakuwa Josmo Mlundwa

aliongeza kwa kusema kuwa mabondia wengine walioingia mikataba kwa ajili ya kucheza mchezo wa utangulizi siku hiyo ni Emilio Norfat atakaezipiga na Rojas Masam mpambano wa raundi 6 katika uzito wa kg 61


Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 


Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

TAASISI YA LECRI CONSULT YAENDESHA WARSHA KWA VIJANA YAWATAKA WASITEGEMEE KUAJIRIWA


 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lecri Consult, Legal and Child Right Consult, Edna Kamaleki (kushoto), akizungumza na vijana wasomi katika warsha ya siku moja ya kuwaongezea uwezo iliyofanyika Dar es Salaam leo. Warsha hiyo iliandaliwa na taasisi hiyo.
 Mdau Julius Kionambali (kushoto), akizungumza katika 
warsha hiyo.
 Miriam Mnada (kulia), akichangia mada
 Vijana wasomi wakiwa kwenye warsha hiyo.
 Warsha ikiendelea.

Vijana wakisikiliza mada kwa makini


Na Dotto Mwaibale

VIJANA wasomi wametakiwa kuacha kutegemea kazi za kuajiriwa badala yake wawe wabunifu katika masuala mbalimbali kulingana na elimu yao ili kujikomboa kiuchumi.

Mwito huo umetoewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lecri Consult, Edna Kamaleki Dar es Salaam leo katika warsha ya siku mbili ya kuwaongezea uwezo vijana iliyoandaliwa na taasisi hiyo. 

"Kijana umesoma kwanini upoteze muda wako kwa kuzunguka kutafuta kazi wakati fursa nyingi zipo" alisema Kamaleki.

Kamaleki aliwataka vijana waoshiriki warsha hiyo kubadili na kuthubutu kuanza kufanya kitu chochote kulingana na elimu walizosomea vijana hao.

Akizungumzia taasisi yake hiyo alisema imejikita kutoa huduma za kisheria kwa jamii  na ushauri katika mambo mbalimbali yanayohusu haki za watoto.

"Tuna amani kwamba haki za watoto ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa watoto, pia watoto wanapaswa kuishi katika jamii ambayo haki za binadamu na sheria zinaeleweka vizuri na kuheshimiwa na kila raia" alisema Kamaleki.

Alisema taasisi hiyo inatoa ushauri na huduma ya kisheria kwa jamii wakiwemo watoto, watu binafsi na taasisi mbalimbali na kuandaa nyaraka  mbalimbali za kisheria na mikataba ya kisheria.

Aliongeza kuwa shughuli zingine zinazofanywa na taasisi hiyo ni kushauri namna ya kufungua kesi katika masuala ya jinai, madai, ndoa, ardhi na usimamizi wa  mirathi pamoja na kuwawakilisha wateja wao mahakamani katika shauri lolote la kisheria.

Alitaja kazi nyingine ya taasisi hiyo kuwa ni kuwasaidia watu binafsi kuunda na kusajili kampuni au taasisi na kujenga uwezo wa taasisi au watu binafsi kuhusu sheria mbalimbali za nchi na kimataifa na kufanya tafiti mbalimbali kuhusu masuala ya kisheria. 

Kwa mawasiliano na taasisi hiyo wasiliana nao kwa facebook lecriconsult, twitter lecriconsult na instrag ni lecriconsult1601 na simu namba 0767855174 na 0657023585.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
 Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya  uliofanyika kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MCHEZO UHO



Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini kutoka Tanga Chalres Muhiru kulia akifafanuwa jambo wakati wa kikao cha makocha kiricho itishwa na KINYOGOLI FONDOTION mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Habibu Kinyogoli Master Picha na SUPER D BOXING NEWS


 Kocha wa mchezo wa ndondi Habibu Kinyogoli Masta akizungumza na makocha walio hudhulia katika kikao cha makocha kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kulia na Charles Muhiru Spens Picha na SUPER D BOXING NEWS
 MAKOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO CHAO
 Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni Sako Mtulya, Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa kutoka kushoto ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na Kocha wa kimataifa wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
Makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja baada kikao chao waliosimama kutoka kushoto ni Sako Mtulya, Ibrahimu Kamwe, Ally Bakari, Michael Buchato na waliokaa kutoka kushoto ni Chalres Muhiru wa Tanga Habibu Kinyogoli pamoja na Kocha wa kimataifa wa machezo huo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Wednesday, October 12, 2016

MPIGANAJI WA KICK BOXING EMANUEL SHIJA APAA KWENDA KENYA KUZIPIGA OCTOBER 15

Mpiganaji wa ngumi na mateke Kick Boxing Emmanuel Shija kushoto akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo uho Joe Anena katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kenya kwa kuzipiga october 15 Picha na
SUPER D BOXING NEWS

Mpiganaji wa ngumi na mateke Kick Boxing Emmanuel Shija kushoto akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo uho Joe Anena katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa julius nyerere kwa ajili ya safari yake ya kenya kwa kuzipiga october 15 Picha na
SUPER D BOXING NEWS

Saturday, October 1, 2016

MABONDIA WAPIMA UZITO NA KUPEWA SEMINA YA UJASILIAMALI ILIYORATIBIWA NA KOCHA SUPER D

MABONDIA WAPIMA UZITO NA KUPEWA SEMINA YA UJASILIAMALI ILIYORATIBIWA NA KOCHA SUPER D

Mabondia Shedrack Ignas kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Ruwanje baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika October 2 katika ukumbi wa white house Bar Kimara Korogwe Picha naSUPER D BOXING NEWS
Mabondia Said Chino akitunishiana misuli na Haidar Mchanjo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya jumapili ya October 2 katika ukumbi wa White House Kimara Korogwe Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Hashimu Chisora kushoto akitunishiana misuli na Rojas Masamu baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao kesho katika ukumbi wa White House Kimara Korogwe Dar es Salaam SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Manyi Issa kushoto akitunishiana misuri na Mustafa Doto baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumapili katika ukumbi wa White House Kimara Korogwe Dar es salaam SUPER D BOXING NEWS
Ofisa Vijana Mstaafu  Robert Semkiwa kushoto akitoa mafunzo ya ujasiliamali kwa vijana wanamichezo wa mchezo wa ndondi kabla ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa October 2 katika ukumbi wa White House uliopo Kimara Korogwe Dar es salaam mafunzo hayo yalitolewa kwa uratibu wa kocha wa kimataifa wa mchezo uho Rajabu Mhamila 'Super D' kwa vijana wa mchezo wa masumbwi

Baadhi ya mabondia makocha na wadau wa mchezo wa masumbwi wakiwa wamesimama kwa ajili ya kufatilia mafunzo hayo
Ofisa Vijana Mstaafu  Robert Semkiwa kushoto akisisitiza jambo


Mkurugenzi wa Tasisi isiyo ya kiserekali YOWEDE  BW. Edwin Mutayoba akisisitiza jambo wakati wa semina ya ujasiliamali kwa wanamichezo wa mchezo wa ndondi

Mwenyekiti wa marefarii wa mchezo wa ngumi Tanzania 'TPBC'  Ally Bakari 'Champion' akifafanua jambo kwa mabondia





Na Mwandishi Wetu

BABONDIA mbalimbali wamepima uzito na kupatiwa mafunzo ya ujasiliamali kabla ya mpambano wao utakaofanyika siku ya jumapili ya October 2 katika ukumbi wa White House Bar Kimara Korogwe wamepimwa uzito pamoja na Afya zao


akizungumzia mpambano uho kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye pia ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia wote wamepima uzito pamoja na Faya Zao na kupatiwa semina ya ujasiliamali

Aliwataja baadhi ya mabondia waliopima 
 uzito ni Said Chino atakaezitwanga na haidar Mchanjo uzito wa kg 57 raundi sita wakati Abdallah Ruwanje atavaana na Shedrack Ignas mpambano wa raundi sita la uzito wa kg 63wakati bondia mkongwe kabisa katika mchezo wa masumbwi nchini Mustafa Doto atazipiga na bondia chipkizi Manyi Issa katika uzito wa kg 61 raundi sita

mipambano mingine itawakutanisha mabondia Mohamed Muhunzi atakaepambana na Kassim Ahmad na Hashimu Chisora atazipiga na Rojas Masam uzito wa kg 61 na Julias Jackson atapambana na Emilio Norfat mpambano wa raund 4 uzito wa kg 61  na Ellsame Mbwambo atazipiga na Emanuel Kisawani mpambano wa raundi 4 uzito wa kg 61

mbali ya siku ya leo kesho tena
kutakuwa na elimu ya ujasiliamali kwa vijana wa mchezo wa masumbwi pamoja na kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kujikwamuwa na uchumi 

Mgeni rasmi katika mpambano uho atakuwa 
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
 
Katika Mchezo huo kutakua na Uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...