Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 4, 2018

BONDIA KIMWERI ATUA NCHINI KUSHUDIA MPAMBANO WA MCHANJO VS SAYUNI SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Na Mwandishi Wetu
 BONDIA Mtanzania anaefanya shughuli zake nchini austalia Omari Kimweriamewasili nchini kwa ajili ya kushudia mpambano kati ta Fred Sayuni na Haidari Mchanjo na amekuja na vifaa vya kupigania siku hiyo mabondia hawo watakaozipiga Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Kimweri amekuja na vifaa vitakavyo piganiwa ulingoni siku hiyo akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa Kimweri ametua nchini juzi kwa ajili ya pambano hili akiwa na vifaa vya kupigania siku hiyo 

mbali na pambano hilo rinalosubiliwa na mshabiki lukuki siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka ambapo bondia Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' atakumbana na George Dimoso na bondia machachali Vicent Mbilinyi atavaana na Saidi Kidedea wakati Mohamedi Kashinde ata vaana na Sadiki Momba na Issa Nampepeche atakabiliana na Faraji Sayuni naBakari Mbede atakutana uso kwa uso na Frenk John

mapambano hayo yote na mengine yataanza saa 12 jioni yani itakuwa mapema ili ngumi hizo ziisha kwa wakati uliopangwa 

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchin

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...