Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 15, 2019

MABONDIA RAMADHANI CHOKI NA VICENT MBILINYI WAJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAO WA PASAKA APRIL 21 MAGOMENIBondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Juma Choki wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super D Coach Shule ya uhuru mabondia hawo siku ya pasaka watakuwa na kibarua katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu Magomeni Mapipa ambapo Vicent Mbilinyi atapambana na Shabani Mbogo wakati Choki atazipiga na Hussein Pendeza siku hiyo


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Juma Choki wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super D Coach Shule ya uhuru mabondia hawo siku ya pasaka watakuwa na kibarua katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu Magomeni Mapipa ambapo Vicent Mbilinyi atapambana na Shabani Mbogo wakati Choki atazipiga na Hussein Pendeza siku hiyoBondia Vicent Mbiliyi akipambana na Peter Makubi wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika April 21 katika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu magomeni Mapipa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...