Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 2, 2011

CHEGGE, TEMBA NA MATALUMA KUINOGESHA FESTIVAL YA TWANGA PEPETA.


Wasanii Chegge, Mheshimiwa Temba na Mataluma wameongezwa kwa ajili ya kutoa burudani katika Tamasha la Twanga Pepeta linalotaraji kufanyika siku ya Jumapili tarehe 06-Novemba-2011 katika viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni.

Tamasha hilo litakuwa ni kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu mpya ya Twanga Pepeta iitwayo Dunia Daraja na kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...