Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 2, 2011

FILAMU ZA BONGO AMBAZO ZIPO FOLENI KUTOKA

KATIKA kuakikisha anafanya vizuri kwenye soko la filam nchini msanii Nice MOhamed'Mtunisi' yuko mbioni kutoka na filamu mpya itwayo Clinic Love ambapo ni mara yake ya kwanza kucheza filamu hiyo ya kimapenzi

katika filamu hiyo inaonekana mapenzi kuchukua chati zai uku ukiacha taaluma kando hususani masomo na maswala mengine mengi waswahili wanasema 'ulimbukeni wa mapenzi' hili ndilo litakalodhiilishwa katika filamu hiyo moja kwa moja

washiliki wa kuu katika filamu hiyo ni Nice, Mohamedi, Rose Ndauka, Jackline Wolper na wengine wengi filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entetiment itakuwa madukani mwezi ujao


MSANII Vicent KIgosi 'Ray' ameibuka kivingine katika filamu mpya ya The Shell filamu hiyo ya kutisha alioshilikisha wasanii nguli wa tansinia hiyo ipo mbioni kukamilika ambapo itakua ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entantainement ya jijini Dar es salaam

Akizungumzia filam hiyo Ray amesema filamu hiyo itakayokuwa ya kutisha itamweka tofauti kabisa katika filamu zingine zilizozoeleka



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...