Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 14, 2012

USAILI WA EPIQ BONGO STAR SERCH UMEENDELEA MKOANI MWANZA LEO




Washiriki wakiitwa majina kwa ajili ya kupewa namba kabla ya kuingia kuwaona majaji.
Madam Rita akihojiwa na mwandishi kutoka Barmedas.
Washirki wakifanya mazoezi ya kuimba wakisubiri zamu yao.
 
 
HADI kufikia majira ya saa sita mchana zaidi ya vijana 480 walikuwa wameshafanyiwa usaili kwenye zoezi hilolinaloendelea siku ya leo. Kwenye eneo la usaili kuna watu wa damu salama wakihamasisha watu kuchangia damu na mwamko wa washiriki umekuwa mzuri. Pamoja na usaili, Zantel ilipata nafasi ya kukutana na madiwani wa mkoa wa Mwanza na kuwagawia jumla ya simu za mkononi 50 zilizounganishwa na mtandao wa Zantel chini ya kifurushi cha CUG (Closed User Group) ambao utawawezesha kuongea bure kati yao.
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...