Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 14, 2012

MASHINDANO YA POOL KINONDONI NGAZI YA MKOA NI MOTO WA KUOTEA MBALII


  Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Haji Hussein akicheza dhidi ya mpinzani wake Fred Mushi (hayupo pichani) wakati wa mashindano Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea jijini.Picha na Michael Machellah
 Mashabiki wakifuatilia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...