Mwandamanaji mwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi
kati jijini Dar es salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali
akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu
cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao
Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda Issa Ponda kuachiwa na jeshi
la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa
kusababisha vurugujijini Dar es salaam.
Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika o
kikuu cha Reli karibu na polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana. Picha na Haki Ngowi Blog
No comments:
Post a Comment