Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na
baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam wa Wilaya wa Mwanga mkoani
Kilimanjaro,wakati alipokuwa akiwasili kwenye hafla ya harambee ya
kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya sekondari ya kiislam ya Lambo
huko Mwanga mkoani Kilimanjaro iliyofanyika mwishoni mwa wiki.Kushoto ni
Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza
waumizi wa dini ya kiislam waliohudhulia hafla ya harambee ya
kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya sekondari ya kiislam ya Lambo
huko Mwanga mkoani Kilimanjaro,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki.Mh Lowassa alichangia shillingi millioni 10 na kusema
Bakwata wilayani Mwanga ni mfano wa kuigwa kwa kuwekeza katika
elimu.Kulia ni Waziri wa Maji,Prof. Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendelea kuchangisha kwenye harambee hiyo.
No comments:
Post a Comment