Mkuu wa Wilaya ya Handeni,akipokea mfano wa
hundi ya sh 40.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo kwa ajili yakuendeshea mradi wa
uchimbaji wa visima 15 vya maji katika vijiji vitano vya Kata ya Kwangwe,Wilaya
ya Handeni,Mkoa wa Tanga, mradi huo unaotazamiwa kukamilika mara baada ya miezi
mitatu.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) akimkabidhi Diwani wa Kata ya
Kwamgwe, wilayani Handeni, Tanga, Shariffa Abebe mfano wa hundi yenye thamani ya
sh. mil. 40.5 akipokea hundiya sh 40.5 zilizotolewa na kampuni ya TBL kwa ajili
ya kuchimba visima 15 katika vijiji vitatu vya kata ya Kwamgwe.
Diwani wa kata ya Kwamgwe Wilaya ya
Handeni,Shariffa Abebe akiishukuru Kampuni ya TBL kwa kutoa kiasi cha sh 40.5
milioni kwa ajili ya kuchimba visima 15 vya maji katika vijiji vitatu vya Kata
ya Kwamgwe.
Diwani wa
Kata ya Kwamgwe,Wilaya ya Handeni,Mkoa wa Tanga,Shariffa Abebe akipitia ratiba
ya hafla ya uzinduzi wa mradi wa uchimbaji wa visima 15 katika vijiji vitatu vya
kata hiyo vilivyofadhiliwa na kampuni ya TBL iliyotoa kiasi cha sh 40.5 milioni.
Mradi huo ulizinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Muhingo Rwenyemamu
aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Chiku Gallawa.
No comments:
Post a Comment