Katibu
Mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine Gesimba akikata
utepe kuzindua chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es Salaam.
Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek.
Picha na Mpiga Picha Wetu.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek (kulia)akisalimiana na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine Gesimba wakati wa uzinduzi wa
chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek
(kushoto) akitoa zawadi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine
Gesimba wakati wa uzinduzi wa chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es
Salaam
No comments:
Post a Comment