Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 6, 2013

MCHAKATO EPIQ BSS UNAVYOSONGA


Mshiriki Merisa John ambae alichaguliwa kwa njia ya simu (Wild Card) kuingia katika shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS) akiimba kwa hisia mbele ya majaji wa shindano hilo
 Mshiriki  Raymond Kasago ambae alichaguliwa kwa njia ya simu (Wild Card) kuingia katika shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS) akiimba kwa hisia mbele ya majaji wa shindano hilo

Jaji Madam Ritha (katikati) akifurahia jambo pamoja na majaji wenzake Master Jay (kulia) na Salama Jabir wakati wa shindano hilo.

Washiriki wakisikiliza maoni kutoka kwa majaji ambapo wote waliambiwa kuwa wanaendelea kubakia katika jumba hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...