![]() |
| Wafuasi wa Cha Cha CHADEMA wakiwa Chini ya Ulinzi wa Jeshi la Polisi baada yakutuhumiwa kuhamasisha mkutano haramu uliopigwa marufuku na Jeshi hilo. Wafuasi hao walikua na magari ya vipaza sauti wakihasisha watu kushiriki kwenye Mkutano huo leo mjini Morogoro. |
Kukamatwa kwa viongozi hao
kunatokana na wafuasi hao wa Chadema kukiuka agizo la Kamanda wa Polisi
mkoani humo Faustine Shilogile la kusitisha mikutanon na maandamano
yaliyopangwa kufanywa na Chama hicho na Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi
maonyesho ya nanenane yamalizike.

No comments:
Post a Comment