Mwanahisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Mchiwa Chedego akiuliza swali wakati wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Wanahisa
kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam jana.
|
Mwanahisa Arphaxar Masambu akichangia hoja wakati wa mkutano huo. |
Wanahisa wakiperuzi taarifa ya hesabu za kampuni hiyo kwamaka 2012/13. |
Sehemu ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo wa mwaka. |
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni hiyo. |
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wake, Robin Goetzsche. |
Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo. |
Mwanahisa Adrian Makelele akichangia hoja wakati wa mkutano huo. |
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche akijibu maswali ya wanahisa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Cleopa Msuya.
|
No comments:
Post a Comment