Askari wa Kituo Kikuu cha Polisi mjini Dodoma akisaidia kuziweka pamoja moja ya Computer zenye
kudurufu kazi za wasanii kwa njia haramu , wakati wa msako wa kukamata
wezi wa kazi za wasani ulioendeshwa na Kampuni ya Msama Promotion mjini humo, wanaoonekana pichani ni baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa na kufikishwa kituoni hapo.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama , akiwaonesha waandishi wa
habari hawapo pichani baadhi ya Computer zilizokamatwa pamoja na
wanaozilimiliki na kufanya kazi haramu ya kudurufu kazi za wasanii,
jumla ya computer zenye thamani ya milioni 47 zilisalimishwa katika
Kituo Kikuu cha Polisi mjini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA
No comments:
Post a Comment