Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
alipotembelea eneo hilo jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiulizia
bei ya viatu, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la
Saateni mjini Zanzibar.maaarufu kwa jina la jua kali.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia
biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la
biashara la Saateni mjini Zanzibar.
Mfanyabiashara wa soko la Saateni Khamis Ali Mohd akitoa maelezo kwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kuhusiana
na hali ya kudorora kwa biashara katika soko hilo, wakati Maalim Seif
alipotembelea eneo hilo jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
No comments:
Post a Comment