Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 16, 2012

Wazee wa iliyokuwa EAC wasema harufu ya pesa zao inanukia.



Mmoja wa Wazee wa Iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki Emilian Belege, Akizungumza wakati wa mkutano wa wazee wastaafy wa jumuiya hiyo ambao hukutana kila siku ya alhamisi kupeana taarifa za maendeleo ya kesi yao ambayo wameifungua kwenye Mahakama ya Afrika kanda ya Arusha ambapo kwa mujibu wa maendeleo ya kesi hiyo kuna kila dalilili ya kupata ushindi.
Wazee wakinunua nakala za maendeleo ya kesi yao waliyofungua mahakama ya Afrika kanda ya Arusha mara baada ya Mkutano huo unaofanyika kila siku ya alhamisi jijini Dar es Salaam.
Wazee hao wakiwa na vijana ambao wamerithi deni hilo kutoka kwa wazazi wao.
Bibi Nuru Hamisi aliwakilisha waisilamu kusoma dua kwenye mkutano huo.
Bi Nazarine Mwagala akiwakilisha wakristo kufanya maombi kwenye mkutano huo.
Hii ni sehemu uchochoro wa mlima ambao hata gari ni vigumu kupita kutokana na wembamba lakini wenye muinuko mkali, hapa ni eneo dogo la Keko Mwanga ambako hata gari halipiti.

Watoto nao hupata shida sana kupanda kilima hiki hasa inapokuja suala la kufuata huduma muhimu upande wa pili wa eneo hilo, suluhu ya adhabu hiyo ni ujenzi wa daraja tu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...