Washiriki
wa kinyaang'anyiro cha mwanamitindo wa mwaka mwenye sifa za kipekee
uUnique Model 2012 wakipewa semina na afisa toka Basata,tukio hili
lilikuwa katika hoteli ya Lamada mwishoni mwa wiki.
Tunaishukuru
serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Baraza la sanaa la
Taifa wamekuwa faraja kwetu kutusimamia na kuhakikisha shindano
linaendeshwa kwa misingi ya haki na kufuata sheria na ksnuni za
mashindano.
No comments:
Post a Comment