Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati
alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi
cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilala
na Kamishina wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakifunua kwa
pamoja kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje,
baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho ulioanza Februari 14,
2012 na kuzinduliwa leo Desemba 26, wakati wa hafla ya uzinduzi huo
iliyofanyika Kiboje Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje,
baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho ulioanza Februari 14,
2012 na kuzinduliwa leo Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya uzinduzi
huo iliyofanyika Kiboje Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. Kush
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, Saleh Ahmed Said, kutoka Migoz Supermarket, ambaye
ni mmoja kati ya watu waliochangia ujenzi wa Kituo hicho cha Polisi cha
Kiboje, wakati wa hafla za ufunguzi wa kituo hicho zilizofanyika leo
Desemba 26, 2012 Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar,
Mussa Ali Mussa, wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo cha
Polisi cha Kiboje, baada ya kufungua rasmi jengo hilo lililoanza
kujengwa Februari 14, 2012 na kuzinduliwa leo Desemba 26, 2012, wakati
wa hafla ya ufunguzi huo iliyofanyika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini
Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar,
Mussa Ali Mussa, wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo cha
Polisi cha Kiboje, katika Chumba cha Mawasiliano baada ya kufungua rasmi
jengo hilo lililoanza kujengwa Februari 14, 2012 na kuzinduliwa leo
Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya ufunguzi huo iliyofanyika Wilaya ya
Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar,
Mussa Ali Mussa (kulia) wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo
cha Polisi cha Kiboje katika Chumba cha Ofisi ya Polisi Jamii, baada ya
kufungua rasmi jengo hilo lililoanza kujengwa Februari 14, 2012 na
kuzinduliwa leo Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya ufunguzi huo
iliyofanyika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Kikundi cha Sanaa cha Polisi kikitoa burudani ya maigizo.
No comments:
Post a Comment