Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 12, 2014

MEMBE NA NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI


Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora  mkazi wa Masasi,Majengo. Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo  ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akititoa  mkono wa pole kwa Ndugu Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume  mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora  mkazi wa Masasi,Majengo kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama karibu na stendi ya mabasi ya Masasi,Katikati ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye ambaye alitoa salaam za rambi rambi kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi. Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa  Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo  ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akiongozana na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye kwenda kutoa salaam za rambirambi kwa familia zilizopoteza jina wao kwenye agari ya gari iliyotokea Mtama,kulia ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Madini,Richard Kasesela . Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...