


Naibu
Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la
maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye
Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.
Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya
kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi.

No comments:
Post a Comment