Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 9, 2015

Tigo yaadhimisha siku ya Wanawake Duniani

Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Cecile Tiano (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake iliyofanyika Makao Makuu ya Tigo Makumbusho, Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo Cecile Tiano, akisoma risala katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika jana Makao Makuu ya Kampuni hiyo Makumbusho Dar es Salaam.


Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Benard Paul ‘Ben Pol’, akiimba pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za Mkononi, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Kampuni hiyo Makumbusho, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...