Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 1, 2016

IDI PIALALI AKAMIA KUMSAMBARATISHA SEBA TEMBA BAGAMOYO MARCH 5 UKUMBI WA TASUBANa Mwandishi Wetu
Bondia Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo mkoa wa Pwani ametoa onyo kali kwa bondia Seba Temba kutoka Morogoro kuwa yeye sio njia ya kupita kwa kuwafata mabondia a juu hivyo atakikisha anamsambalatisha Temba

akiongea kwa njia ya simu kutoka Bagamoyo Pialali amesema nimesikia Temba anatamba uwa atanisambalatisha hivyo kauli yake hiyo aifute mara moja kwa kuwa nitampiga kipigo cha mbwa mwizi kwani nimejipanga kuitangaza ngumi mkowa wa Bagamoyo Pwani kwani mabondia wote niliocheza nao walichezea kichapo hivyo nakutahadhalisha

mbali na mpambano uho iku hiyo kutakuwa na mapambano mengine mengi ya mchezo wa ngumi likiwemo la wanawake Joyce Awino kg 64  na Mariam Tembo na Abdallah Pazi kg 76 atakumbana na Georger Dimoso na Flank Lampad kg 69 atavaana na Mwaite Juma wakati bondia kutoka mkoa wa Tanga Jacobo Mganga kg 72 atapambana na Maono Ally

Katika mpambano uho siku hiyo kutakuwa na huzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria za mchezi huo zikiwa na mabondia wakali akiwemo


Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...