| Mbondia Iddi Mnyeke kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Kashinde baadas ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classc Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS | 
| Mabondia
 Joseph Sinkala wa mbeya kushoto na Ibrahim Maokola wakiwa wameshikilia 
mkanda wa ubingwa wa Taifa watakao ugombania kesho katika ukumbi wa 
Vigae Classic Mbagala Zakhem  Picha na SUPER D BOXING NEWS  | 
Mabondia Joseph Sinkala wa mbeya kushoto na Ibrahim Maokola wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Taifa watakao ugombania kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPER D BOXING NEWS
| Bondia Ibrahimu Maokola 'Simba wa Mbagala' akiojiwa na waandishi wa habari | 
Bondia Josephe Sinkala akiojiwa na waandishi wa habari 
RAIS WA TPBC CHAULEMBO PALASA AKIONGEA NA WAHANDISHI WA HABARI
SIKLA VS MAOKOLA
Bondia Iddi  Mnyeke akipima uzito kwa 
ajili ya mpambano wake na Mohamed Kashinde kulia mpambanmo utakaofanyika
 kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem 
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Picha na SUPER D BOXING NEWS
| Bondia
 Mohamed Kashinde akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Iddi 
Mnyeke kulia mpambanmo utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae 
Classic Mbagala Zakhem  Picha na SUPER D BOXING NEWS  | 
| Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS | 
| Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS | 
Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Ibrahimu Maokola wa Dar es 
salaam na Joseph Sinkala wa Mbeya wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 12   mpambano wa 
kugombania ubingwa wa taifa wa kg 72 utakaopigwa katika ukumbi wa Vigae 
Classc uliopo Mbagala Zakhem jijini  
Mpambano uho wa raundi kumi za ubingwa
 wa TPBC unaoshikiliwa na Maokola umeandaliwa kwa ajii ya kutetea mkanda
 wake akiongea mpambano uho 
akizungumza baada ya upimaji uzito Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa amesema mpambano uho umeandaliwa kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini 
mbali na mpambao uho siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya ngumi yatakayo wakutasnisha mabondia mbalimbali 
Bondia Iddi Mnyeke
 atakumbana na Mohamedi Kshinde na Karage Suba atavaana na Pius Kazaula 
wakati Selemani Galile ataoneshana umwamba na Ambokile Chusa
Katika mpambano 
uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za 
mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za 
mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri 
siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu
No comments:
Post a Comment