Mshambuliaji
wa timu ya Mtende, Jumanne Seif Chikunde akimiliki mpira huku akizongwa
na beki wa Jamhuri, Yusuph Makame Juma katika mechi ya michuano ya
Sup8r iliyofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam leo.
Jamhuri ilishinda 4-0. (Picha na Habari Mseto Blog).
Wachezaji wa Jamhuri na Mtende wakiwa wamelala chini baada ya kundi kubwa la nyuki kuvamia uwanja wakati mchezo ukiwa unaendelea
No comments:
Post a Comment