Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 12, 2012

MAMIA WAMPOKEA DK. ULIMBOKA KISHUJAA AIRPORT


 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akipata mapokezi makubwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya chini ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Dk. Ulimboka akiwasili leo kutoka nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kwa matibabu.
 Wanaharakati wakipaza sauti wakati wa mapokezi ya Ulimboka.
 Dk. Ulimboka akiwapungia mkono baadhi ya madaktari wenzake waliofika kumpokea
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya kulia ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27.
 Baadhi ya Wanaharakati pamoja na Madaktari wakilisukuma gari alilokuwa amepanda Dk Ulimboka mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...