Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 11, 2013

Airtel yatosha yaendelea kuwapa washindi mamilioniFuraha ya ushindi.
  Mshindi wa promosheni ya Airtel inayofahamika kwa jina la Airtel yatosha shinda nyumba 3, Bw. Hashim Mtindo mkazi wa Kigamboni akiwa ameshikilia pesa zake baada ya kukabidhiwa kitita hicho kama mshindi aliyeibuka kupitia promosheni maalum ya Airtel yatosha shinda nyumba 3. Kulia kwake ni Ofisa Huduma kwa wateja wa Airtel Bi,  Happy.
Mmoja kati ya washindi saba waliojishindia milioni moja kupitia promosheni maalumu ya Airtel yatosha shinda nyumba 3, Bw. Elineema Mahuki mkazi wa Kitunda- Dar es salaam  akihesabu pesa zake baada ya kukabidhiwa pesa hizo jana katika makao makuu ya Airtel Dar es salaam, Kulia kwake ni mtendaji kutoka kitengo cha huduma kwa wateja Happy.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...