Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 11, 2013

"KILI MUSIC TOUR 2013" KUHITIMISHWA JIJINI DAR JUMAMOSI Hitimisho la Kili Music Tour 2013.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusiana na tamasha kubwa la "Kili Music Tour litakalofanyika siku ya Jumamosi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, ambapo kiingilio kitakuwa sh. 2500 pamoja na  bia moja ya bure. (Picha na Francis Dande)
 Ben Pol akizungumza kuhusu tamasha hilo.
 Nasib Abdul 'Diamond Platinum'
Kala Jeramiah.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...