Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 12, 2013

MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA ' MTOTO WA MKULIMA' DODOMA


Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013, ambapo mavuno makubwa yamepatikana msimu huu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo Zuzu mjini  Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...