Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 14, 2013

WAKAZI WA JIJI WAENDELEA KUPATA BURUDANI KUTOKA KWA WASANII WA KILI MUSIC TOUR USIKU HUU KATIKA VIWANJA VYA LEADERMashujaa Band wakiendelea Kutoa Burudani usiku huu katika Viwanja Vya Leaders katika Kili Music Tour
Mashujaa Band wakiendelea na yao katika Jukwaa la Kili Music Tour ndani ya Viwanja vya Leaders Club Usiku huu
Watangazaji wa Kituo Cha Redio na Runinga Cha East Africa Kutoka Kushoto (Dulla wa Planet Bongo) na Zembwela wakiendelea na Kusherehesha Mashabiki waliohudhuria katika Kili Music tour usiku huu katika Viwanja Vya Leaders.
Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa Muziki waliojitokeza katika Kili Music Tour usiku huu katika Viwanja Vya Leaders Wakishangilia Burudani kutoka kwa mashujaa band...Endelea Kuwa na Lukaza Blog inakuletea live

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...