Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 14, 2013

KUNDI LA EL SHADAI NA FLORA MBASHA WATOA VIDEO MPYA ZA NYIMBO ZA INJIRI


Moses Mwanyiro alijuza safu hii kuwa video hizo kwa sasa zipo mtaani na watu wote wanakaribishwa kwenda kupata nakala zao arisi ili waenderehe kupata burudani
dvd hizo zilizo na nyimbo mbalimbali zikiwa na ujumbe wa kumtukuza mungu zitakuwa chacha kwa watanzania kupata kumkumbuka mungu na kufanya matendo mema Kampuni ya steps ya jijini Dar es salaam imekuwa ikipokea kazi mbalimbali za sanaa ku kuzifanyia promosheni ili wananchi wapate kitu kilicho bora zaidi  msanii Flora mbasha kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya wa usilie tena ambao umebeba jina la albam yake mpya iliyoko mtaaniNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...