Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 14, 2013

TINO ANGIZA SOKONI FILAMU YA MIMI NA MUNGU WANGU

MSANII wa Filamu nchini Tino Muya ameingiza sokoni filamu yake mpya inayokwena kwa jini la Mimi na Mungu wangu ambayo imekuwa gumzo nchini

akizungumza na safu hii Tino amesema filamu hii iliyotoka baada ya ile iliyotamba ya CID ni nzuri na ina mafundisho ndani yake kwani utakiwi kuikosa

Mana ni moto wa kuotea mbali alisema Tino. ambaye kwa sasa amejikita katika filamu za mapigano ameonekana tofauti na wenzake kwa kuwa amesha shiriki katika filamu nyingi za mapenzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...