Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 12, 2013

WANA MASUMBWI WAMIMINIKA MSIBA WA TEMBO MTOTO

Bondia Raston Phill kushoto akisalimiana na Trene wa GYM ya Lazima ukae ya kinondoni Dar es salaam Bobani kulia ni Kocha wa masumbwi, Kwame Mkuruma wakati walipokutana kwenye msiba wa bondia Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto' manzese Dar es salaam  ambapo shughuli za mazishi zinafanyika kwa ajili ya kusafilisha kesho kwena Korogwe mkoa wa Tanga ambapo uwagaji mwili wa marehemu utafanyika katika hospital ya mwananyamala kesho kuanzia saa 5 asubui na safari ya mazishi itanzia hapo hapo hospital picha na SUPER D

Baadhi ya mabondia na makocha wakiwa wamekaa katika msiba wa Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto' Manzese Dar es salaam kutoka kushoto ni Chales Mashari,Victor Jaiti, Kocha wa Mashali,Bondia wa Timu ya Taifa, Bobani na Kocha Kwame Mkuluma

Wombelezaji wakiwa katika mkeka
Raston Phill akisalimiana na kocha kwame mkuluma
Baadhi ya mabondia na makocha wakiwa wamekaa katika msiba wa Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto' Manzese Dar es salaam kutoka kushoto ni Chales Mashari,Victor Jaiti, Kocha wa Mashali,Bondia wa Timu ya Taifa, Bobani na Kocha Kwame Mkuluma na Raston Phill

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...