Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 12, 2013

MKURUGENZI WA DOLASED AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO


 Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki mradi  wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala  Msemo.
Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki  za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED) Gidion Mandesi(kulia) akifafanua Sheria  ya Watu Wenye Ulemavu namba 55(1) ya mwaka 2010 inayohusu vyombo vya habari hususan televisheni vinavyotakiwa kuweka wakalimani kwa ajili ya taarifa ya habari na matukio mengine ya kitaifa ili viziwi waweze kupata taarifa katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo kwa kutumia maandishi  ya nukta nundu.kulia   ni mwandishi wa habari wa gazeti la majira , David John.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...