Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 14, 2013

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA BONDIA YOHANA MATHAYO 'TEMBO MTOTO'

Mmoja ya wana familia akiwa ameshika msaraba kuongoza njia kwa ajili ya kuingiza mwili wa marehemu kwenye gari
Baadhi ya mabondia waliojitokeza kumuaga mwenzao  Marehemu Bondia Yohana Mathayo 'Tembo Mtoto' wakiwa katika picha ya pamoja waliosimama kutoka kushoto ni Japhert Kaseba,Iddy MNyeke,Ubwa Salumu,Mussa Sunga,Shabani Kaoneka,Bilali mzee wa TABATA,Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na waliochuchumaa kushoto ni Mohamedi Matumla,Abdallah Mohamedi na Shomari Mirundi.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Baadhi ya waombelezaji wakiomba duwa kwa ajili ya bondia aliyetangulia mbele ya haki Yohana Mathayo ambapo amesafilishwa kwenda Tanga kwa ajili ya maziko siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...