Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 15, 2013

Danny Garciaalivyo msambalatisha Lucas Matthysse.


Bondia Danny Garcia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Lucas Matthysse. garcia alishinda kwa pointi na kutawazwa kuwa bingwa
Bondia Danny Garcia kulia akimtupia konde  Lucas Matthysse. wakati wa mpambano wao danny alishinda kwa point
Danny Garcia na Lucas Matthysse.
Danny Garcia and Lucas Matthysse.
Bondia Danny Garcia akibusu mkanda wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...