Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 7, 2013

MSAMA; WAUZAJI WA CD FEKI KUSAKWA KILA KONA  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa watu 20 wanaojihusisha na uuzaji wa CD Feki za kazi za wasanii. (Picha na Francis Dande) 
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha ‘CD Feki’ za wasanii mbalimbali zilizokamatwa katika operesheni maalumu ya ‘safisha CD feki kila kona’ ambapo wafanyabiashara 20 katika maeneo ya Kimara, Ubungo na Manzese jijini Dar es Salaam, zikiwa na thamani ya sh. milioni 18. 
 Hivi ni vifaa vinavyotumika katika kudurufu kazi za wasanii.
 Moja ya kompyuta zinazotumika katika kudurufu kazi za wasanii.
Baadhi ya CD Feki zilizokamatwa katika Operesheni ya Safisha CD Feki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...