Marquee
tangazo
Tuesday, March 11, 2014
BUDEGE KATIKA POZI TOFAUTI
MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' amesema baada ya kuipua fadha hausi yupo mbioni kuingia mkataba na wasanii mbalimbali nchini kwa ajili ya kufanya nao kazi na kampuni yake
baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo
Athumani Lali 'Budege' yupo mbioni kuongea na mmoja ya warembo wanaotamba katika tasnia ya filamu Wema Sepetu kwa ajili ya kufanya nae kazi na uku akimtaja Wastara Juma kuwa nae pia ni mmoja ya watu anaepoenda kufanya nae kazi ya filamu nchini
msanii huyo aliongeza kwa kusema anataka katika filamu zake zote zijazo zisikose angarau ma super star watano kwa kuwa uwezo wa kufanya hivyo anao na kutokana na galama sio kitu cha kujali ila ubora wa kazi ndio unaotakiwa kwa sasa sokoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment