Wanafunzi wa Joyland Pre& Primary wakiwa wamejichangana na yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund huku walimu wao wakiwa wamesimama |
Walimu wa Shule ya Joyland wakijitambulisha mbele ya hadhara mchana wa leo kabla ya kukabidhi msaada wao kwa yatima |
Mkurugenzi wa Shule ya Joyland, Fred Otieno akizungumza kabla ya kukabidhi msaada kwa yatima wa kituo cha Yatima Trust Funds |
Wanafunzi wa Joyland wakiwa wamekaa kando ya yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund |
Baadhi ya yatima wanaolelewa na kituo cha Yatima Trust Funds wakiwa makmini kufuatilia matukio yaliyokuwa wakiendelea kwenye hafla ya kukabidhiwa misaada na Shule ya Joyland |
Watoto wakiwa bize kufuatilia matukio kwenye hafla iliyofanyika leo Chamazi |
Yatima wanaolelewa kituo cha Yatima Trust wakionyesha ujuzi wao wa kunengua |
Wnachuana kucheza muziki uliokuwa unaporomoshwa |
Kama Super Nyamwela! Dogo ana kipaji cha kucheza muziki nouma! |
Bendi ya Shule ya Joyland ilikuwapo kuwatumbuiza yatima siku ya leo yaani ilikuwa faraja kubwa kwa watoto hao |
Mkurugenzi wa Joyland Pre& Primary, Fred Otieno akiomba kabla ya shughuli kuanza...yaani kama Pastor |
Ameen! Walimu na watoto wakitikia sala ya mambi kabla ya shughuli kuanza leo Chamazi. |
Ameeen! Watoto wakiitikia dua |
Baadhi ya yatima wakiwa wamewabeba wanafunzi wa Joyland waliowatembelea kituoni kwao leo na kukabidhiwa msaada ya vitru mbalimbali vyenye thamani ya Sh. Mil. 5 |
Utoto bana! wenzake wanaangalia mbele yeye anaangalia nyuma, lakini ni raha tupu! |
Baadhi ya walimu wa Joyland wakiwa katika pozi kuangalia usalama wa watoto wao na yatima waliowatembelea |
Yaani hawa madogo walifanya hata wenzao wasahau kucheza muziki kuwashuhudia vizuri wanavyochuana kunengua kwa raha zao |
We angalia mpambano ulivyokuwa halafu toa maoni yako unadhani nani aliibuka mkali wa kudansi |
Mkaanga Chips huyu balaa kama Titina Alcapone au Komba Belou Mafwala |
Sehemu ya msaada uliotolewa na Shule ya Joyland kwa Yatima Trust Funds |
Madam Anna alikuwa bize na mtoto aliyempakata...uchungu wa mwana jamani! |
baadhi ya walimu wa Joyland waliowatembelea yatima wa Chamazi |
Walimu wa Joyland wakiwa katika pozi |
No comments:
Post a Comment